Je, unawezaje kukua katika uhusiano wako na Mungu?
Kama ilivyo katika uhusiano wowote, utamjua Yeye zaidi unaposhiriki maisha yako Naye. Mambo yafuatayo yanaweza kukusaidia:
- Nenda ubatizwe. Kwa njia hii unaonyesha wazi kwamba maisha yako ya zamani bila Yesu yameisha na umeanza maisha mapya pamoja naye.
- Zungumza na Mungu juu ya kila jambo katika maisha yako. Tunaita hii kuomba.
- Msikilize Mungu kwa kusoma Biblia. Mungu anaongea/ anazungumza kupitia Biblia.
- Mwamini Mungu kwa kila jambo la maisha yako.
trip_origin
trip_origin
trip_origin
trip_origin
trip_origin
trip_origin
trip_origin
trip_origin
trip_origin
circle
trip_origin