Dhambi zetu zinatutenga na Mungu
Biblia inasema kila mtu ametenda dhambi. Sote tumefanya mambo ambayo ni mabaya machoni pa Mungu.
"kwa sababu wote wamefanya dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu." (Warumio 3:23)
"lakini maovu yenu yamewafarikisha ninyi na Mungu wenu, na dhambi zenu zimeuficha uso wake msiuone, hata hataki kusikia" (Isaiah 59:2)
Mungu ni mkamilifu na mtakatifu. Mungu na dhambi hawachangamani. Ndiyo maana uhusiano na Mungu unavunjika. Dhambi zetu zinatutenganisha na Mungu.
trip_origin
circle
trip_origin
trip_origin
trip_origin
trip_origin
trip_origin
trip_origin
trip_origin
trip_origin
trip_origin