Lakini labda unafikiri, “Lakini mimi ni mtu mzuri, ninafanya mambo mema, mimi ni wa kiroho au wa kidini, ninaenda kanisani.” Haya yote ni mambo mazuri, lakini hakuna kati ya haya au mambo mengine mazuri yanayoweza kuziba pengo linalosababishwa na dhambi. Mambo mazuri hayawezi kuondoa dhambi.
Kwa bahati nzuri kuna suluhisho...

trip_origin
trip_origin
trip_origin
circle
trip_origin
trip_origin
trip_origin
trip_origin
trip_origin
trip_origin
trip_origin