Je, unataka kupokea karama hii ya Mungu?

Unaweza kupokea karama hii ya Mungu sasa hivi kwa kuomba ombi hili. Omba ombi hili kutoka moyoni mwako.

"Mungu, ninaelewa sasa nimeenda katika njia yangu. Nimekutenda dhambi. Yesu, ninaamini ulienda msalabani na Wewe uliadhibiwa kwa ajili ya dhambi zangu. Ninakukubali kama Bwana na Mwokozi wangu. Asante Mungu, kwa kuwa umenisamehe dhambi zangu zote. Ninaamini kwamba mimi ni mtoto Wako. Ninaamini sasa nina uzima wa milele.

trip_origin trip_origin trip_origin trip_origin trip_origin trip_origin trip_origin circle trip_origin trip_origin trip_origin