Je, unawezaje kukua katika uhusiano wako na Mungu?
- Ishi na Roho Mtakatifu. Atakusaidia katika kutembea kwako na Mungu.
- Kutana na waumini wengine. Anza kuhudhuria kanisa ambako wanampenda Mungu na kuhudhuria ibada kwa uaminifu.
- Waambie wengine kuhusu Yesu. Mungu anataka kila mtu asamehewe na apate kumjua Yeye.